Contents
SHABIBY KUKATA TIKETI KUPITIA MTANDAO|SHABIBY ONLINE TICKET
SHABIBY KUKATA TIKETI KUPITIA MTANDAO
Kampuni ya Shabiby Line Bus Services, yenye mabasi ya Shabiby Line imekuja na huduma mpya kwa wateja wake kwa kukata tiketi kupitia website yao (www.shabiby.co.tz) na kulipia kwa njia ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money.
Mabasi ya Shabiby Line yanafanya safari mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Arusha, Moshi na kwengine.
Kwa maelezo zaidi wateja wapigie simu namba: 0718 86 59 87
Leave a Reply